06 October 2014

WASANII WA BONGO MUVI..BOND NA GABO WANASWA LIVE WAKISAGA MIRUNGI!

 
WASANII wa filamu nchini, Bond Bin Sinan na Salim Ahmed ‘Gabo’ hivi karibuni walinaswa wakisaga mirungi hadharani bila kujali kadamnasi.

Meza ya wasanii wa filamu Gabo na Bond ikiwa na dozi ya kutosha ya mirungi. Ishu hiyo ilitokea katika Ukumbi wa Dar West,
Tabata Dar kulikokuwa na sherehe ya bethdei ya Wastara Juma ambapo wasanii hao walikuwa wamejaza mirungi kwenye mfuko wa nailoni na kuweka mezani huku wakitafuna kuanzia mwanzo hadi mwisho wa shughuli.PICHA ZAIDI>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname