06 October 2014

PICHA ZA BASI LA NAJMUNISA LILILOPATA AJALI MBEZI JIJINI DAR ES SALAAM

 Muonekano wa basi la najimunisa mara baada ya kupata ajali.


Basi la Najmunisa lililokuwa likitokea mwanza kwenda jijini Dar es salaam lilipata ajali mbaya jana usiku kwa kugongana na gari dogo eneo la Mbezi jijini dar es salaam

Kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari hii, hakukuwa na vifo bali abiria walijeruhiwa na kupelekwa hospitali kwa matibabu zaidi

Kufuatia ajali hiyo polisi walilazimika kuwatimua baadhi ya watu waliokuwa na lengo la kukwapua mali za majeruhi hao ambapo eddy blog inalaani  kitendo hicho ambacho si cha kiungwana hata kidogo

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname