MAMA SITTIAKANA SITTI MTEMVU KUJIVUA TAJI LA MISS TANZANIA 2014.
Mama
wa mrembo huyo, alisema ameshtushwa na taarifa za mwanaye kujiuzulu na
kusema si za kweli, kwani kama angepanga kufanya hivyo asingefanya kwa
kificho, badala yake angeitisha mkutao na wanahabari: “Hawezi kujiuzulu
kienyeji hivyo na hata mimi mama yake sina taarifa hizo, hayo ni
matumizi mabaya ya mitandao.”
credit: Mo dewji blog
No comments:
Post a Comment