Kupitia Instagram ya Ray C ameandika:
Taasisi ya Ray C Foundation iliyo chini ya muimbaji mkongwe, Ray C imefanikiwa kuongeza mradi mpya wa mgahawa ambao utatoa fursa ya ajira kwa vijana waliojikomboa kutoka kwenye matumizi ya madawa ya kulevya.
Matunda ya Ray C Foundation,Namshukuru Mungu kwa kuendeleakutubariki,kupitia foundation yetu tumeanza kufungua miradi mbalimbali ili kuwawezesha vijana walioamua kubadilika na kuachana na dawa za kulevya kupata ajira ili waweze kuendesha maisha!kwakuanza Ray C FOUNDATION imefungua mgahawa nje ya hospitali ya Mwananyamala ili kuwawezesha wagonjwa na wauguzi waweze kupata chakula cha kila aina naSOMA ZAIDI>>
No comments:
Post a Comment