Mwanaume aliyekuwa na kilo 210 ambaye
kutokana na unene wake alijikuta akikosa furaha na hata kujaribu kujiua,
amepunguza kilo 114 na kujikuta kuwa kama mtu tofauti aliyejazia kama
wacheza mieleka na kupewa jina la utani, Mr Muscles.
Kabla na baada
Mike Waudby, 32, kutoka Hull, kwa sasa
ameandika kitabu kuelezea mabadiliko yake katika afya na muenekono wa
mwili. Kitabu hicho kiitwacho ‘The Weight Loss Warrior’ inaeneleza njia
alizopitia kubadilika kutoka kuwa mtu kibonge hadi kuwa jamaa mwenye
misuli na nguvu nyingi.
Ilimchukua miezi 18 kupunguza kilo 114.
Hivi ndivyo Mike alivyokuwa mwanzo
Na hivi ndivyo alivyo sasa:
No comments:
Post a Comment