Baada ya diamond kushindwa kufanya show
nchini Uingereza siku chache zilizopita huku yeye akisema ilikua ni
tatizo la promoter alieanda show, sasa Meneja wake Diamond Platnumz
amefunguka sababu za msanii wake kushindwa kufanya show hile, Pia
ikimbukwe ni wiki chache tu zilizopita Diamond alishindwa kufanya show
nchini Ujerumani baada ya kuchelewa kufika katika show na kusababisha
vurugu mpaka kufikia hatua ya polisi kuingilia.
Utaweza kusoma Onyo aliopewa Diamond na
shabiki aliefika kwenye show ya Uingereza na kuambulia patupu kwa kuwa
msanii huyo aligoma kupanda stejini.
cheki alichoandika shabiki...
No comments:
Post a Comment