06 September 2014

BREAKIN NEWZZ!!:- MBUNGE MTATA WA UPINZANI APATA AJALI LIVE!!

 Mbunge wa Muhambwe kupitia NCCR-MAGEUZO Felix Mkosamali amepata ajali mbaya ya barabarani eneo la wilaya ya BAHI mkoani Dodoma akiwa njiani kutokea Dodoma kwenda Kigoma.


Yeye Mwenyewe hakuumia sana ila mdogo wake pamoja na abiria mwingine wameumia vibaya na kwa sasa wapo Hospital ya rufaa ya mkoa wa Dodoma wakiendelea na matibabu.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname