Alichofanya Davido Twitter Kuonyesha Kuwa Hana Beef Na Wizkid
Kwa
kitendo hichi msanii Davido amethibitisha kuwa hana tofauti zozote na
WizKid ambaye wiki chache nyuma iliripotiwa kuwa wamegombana na
wanatupiana maneno.Davido ametumia twitter yake kutoa pongezi kwa Wizkid
na P Square kwa kutoa album zao mpya.
No comments:
Post a Comment