02 August 2014

"WE SHETANI, MI MTOTO WA MUNGU...PISHA NJIANI..." NI SHEEEDA NYINGINE MJINI TOKA KWA DUDUBAYA!

Single mpya ya Dudubaya, msanii mwingine wa longtime kwenye bongofleva ambae jina lake lipo kwenye list ya Wasanii wa bongofleva waliowahi kumiliki Top10 kwa hits kama ‘nakupenda tu’ na ‘mwanangu huna nidhamu’

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname