Minong'ono
ilianza tu, pindi ilipowekwa picha hii katika maombolezo ya kifo cha
nguli wa filamu nchini R.I.P Steven Kanumba, kutokana na alama hiyo
kuhusishwa moja kwa moja na alama za mashetani maarufu kama Freemasonry
chini ya kiongozi wao Lucefer. Watu walijadilikwamba hakukuwa na picha
nyingine nzuri zaidi ya hii, au hiyondiyo waliipenda sana. Hata hivyo
baadhi ya wasanii na wadau wengine walisema hiyo ni picha kama picha
nyingine,ingawa ilikuwa na maana zaidi na huenda yule aliyevaa asijue
maana yake. Ndipolikaja neno kwamba, kama ndiyo hivyo basi wasanii
wengi watakuwa wakitumiwa na mashetani, bila ya wao kujijua na hatmaye
vifo vyao vikawa kamandoto..... |
No comments:
Post a Comment