23 August 2014

VIBAKA WACHOMWA MOTO HADI KUFA DAR!

 Baadhi ya wananchi wakishuhudia jinsi miili hiyo inavyoteketea.
Vijana wawili wakazi wa Jiji la Dar es Salaam ambao hawakufahamika majina yao, wanaodaiwa kuwa ni vibaka  alfajiri ya leo wameuawa kwa kuchomwa moto na wananchi wenye hasira kali baada ya kumpora pochi dada mmoja mkazi wa Tabata Liwiti. Shuhuda wa tukio hilo ambaye hakupenda kutaja jina lake alisema baada ya vibaka hao kumpora pochi dada huyo, walitaka kutoweka na bodaboda ndipo wananchi walifanikiwa kumkamata aliyeipora pochi hiyo akaanguka chini wakaanza kumpa kipigo huku mwenzake akifanikiwa kuondoka. 
Matairi yaliyotumika kuwachomea vibaka hao yakiungua.SOMA ZAIDI>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname