02 August 2014

UKWELI KUHUSU MWANAUME ALIYEZAMISHWA SHOKA


Bw. Oka Constantine (35) akiwa amejeruhiwa na sururu.
Mwezi uliopita hapa Kandili Yetu tuliitoa habari hii mara mbili:

Ila kutokana na uzito wa suala hili, bado kuna mambo mengi ya nyuma ya pazia. Na leo hii tumeona itakua vyema tukishare nawe mdau wetu...Kwa hisani ya GPL, Fuatilia updates hizo hapa chini..

TUKIO LA KUTISHA!

Habari hiyo ilimhusu mwanaume mmoja ambaye jina halikupatikana kuwa alipigwa shoka (baadaye ilibainika ni sururu) hadi kuzama kichwani upande wa kushoto kwa madai ya kufumaniwa na mke wa mtu katika eneo ambalo pia halikujulikana.

Kingine katika habari hiyo, haikujulikana mara moja mtu huyo alikumbwa na tukio hilo sehemu gani ya Tanzania lakini ilijidhihirisha kuwa ni hapa nchini kutokana na shuka alilofunikwa akiwa hospitali kuandikwa; MSD. MSD (Medical Stores Department) ni mashuka yanayotolewa na Serikali ya Tanzania kwenye hospitali zake.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname