03 August 2014
Rose Ndauka Ajimwagia Sifa Kede Kede Anadai Anajiheshimu Ndio Maana Anaheshimika
Mrembo wa Filamu za Bongo Movies Rose Ndauka Amejimwagia sifa Kibao na kusema ukiwaambia wasanii wa kike wanaojieshimu wapite mbele basi yeye ni numba moja , Amesema amejiwekea utaratibu wa kujieshimu ndio maana watu wengine wanamweshimu tofauti na zamani alipoanza kuwa staa ambapo skendo
nyingi zilikuwa zikimkuta, Pia amesema yeye anajiepusha na marafiki wambea na wanaopenda kusambaza maneno maneno na choko choko kwani kwa sasa yeye ni mama wa mtoto na anataka mtoto wake alelewe katika malezi bora.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment