Wasanii hao wamezua hisia kuwa huenda wamerudiana tena hasa baada ya kuingia katika club hiyo kwa wakati mmoja, wakawa karibu na wakaondoka wote majira ya saa kumi alfajiri.

Hata hivyo, Drake na Rihanna waliwahi kuonekana katika hotel moja hivi karibuni baada ya kufanya show na kuperform ‘Take Care’ huku Rihanna akioenesha uchokozi wa hali ya juu.


Habari hizi zinakuja ikiwa ni siku moja tu baada ya Chris Brown na Karrueche Tran kurusha uhusiano wao kama zamani
No comments:
Post a Comment