10 August 2014

NEWZZZ....KOCHA WA SIMBA LOGARUSIC ATIMULIWA

Simba imemtimua kocha wake, Zdravko Logarusic ikiwa ni siku moja tu baada ya kufungwa mabao 3-0 na Zesco ya Zambia.Loga anatuhumiwa kuzozana na wachezaji mara baada ya mechi akiwatuhumu kuonyesha kiwango duni.

Uongozi wa Simba umechukua uamuzi huo baada ya kikao cha takribani masaa matano.
Tayari Simba imeanza kufanya maarifa ya kumpata kocha mpya.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname