MTU MMOJA AUAWA KWA KUPIGWA RISASI MLIMANI CITY!
Mtu mmoja aliyetajwa kwa jina la Adson Cheyo (Pichan) amepigwa risasi na kufariki
maeneo ya Mlimani City jijini Dar es salaam hapo jana usiku. Inaaminika
amepigwa na majambazi waliokuwa wamemuona na bahasha yenye kiasi kikubwa cha pesa (Milioni 18).
No comments:
Post a Comment