09 August 2014

MAJAMBAZI YAMPIGA MTU RISASI DAR

Ilikuwa ni katika jaribio la wizi ambapo majambazi hao walimpiga risasi ya kifua mtu mmoja kabla ya kumpora katika  maeneo ya kiwanda cha Serengeti kilichopo Temeke jijini Dar es Salaam.Kabla ya kufanikiwa tukio hilo, majambazi hao walikurupushwa na Polisi na kukamatwa wakiwa na Bastola pamoja na risasi nne.
Baada ya kukamatwa majambazi hao wamepelekwa kituo cha Polisi Chang’ombe kilichopo temeke.PICHA ZAIDI>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname