Week Kama tatu zilizopita Udaku Special
tuliweka Habari kuhusu Majina ya Waliofauli Usaili wa Nafasi ya
Ukonstebo Pale Uhamiaji ambayo ilisemekana yalikuwa yamechakachuliwa
kwani wengi waliopata kazi hiyo walikuwa na undugu na wafanyakazi wa
Idara hiyo, Baada ya Habari hiyo Serekali ilisimamisha mchakato huo
kupisha
uchunguzi , Leo taarifa zimepatikana kuwa ni ukweli majibu ya usaili huo yalichakachuliwa na kuwaacha waliofaulu na wahusika kuweka ndugu ama jamaa zao hivyo basi matokeo ya usaili huo yamefutwa rasmi Mpaka hapo Utakapofanyika Usaili Mwingine

No comments:
Post a Comment