12 August 2014

Haya Ndiyo Mavazi Wanayovaa Wahudumu wa Ndege Kujikinga na Ebola













Ugonjwa wa Ebola umelipuka sana huko Africa magharibi na umeua watu wengi sana. Hivi sasa mambo mengi yanafanywa ili kukinga watu dhidi ya maambuzi mampya.

Njia moja wapo ni kutenga na kulifunga eneo lolote ambalo lina mgonjwa wa Ebola. Lakini hivi ndivyo wafanyakazi wa ndege za Africa magharibi wanavyovaa ili kujikinga. Advertisement

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname