Kama mnavyojua kwakipindi cha miezi isiopungua mi nne sasa..Dada yetu
Agnes Gerald aka Masogange aliamia nchini Afrika Kusini..Ambako kimsingi
alipata bwana wa kuishinaye huko
Sasa leo hii asubuhi kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM masogange
ametupia picha ya pasi ya kusafiria ya Afrika Kusini...na ku-caption
alama ya kupiga makofi....hii nikuuonesha kuwa kwasasa sio raia tena wa
Tanzania..kwa mujibu wa sheria zetu hapa Tanzania,haziruhusu uraia wa
nchi mbili kwa hiyo kama ni kweli basi Masogange sio mtanzania mwenzetu
tena...Baadhi ya watu waliocomment kumsifia ameonesha kuwajibu kwa
furaha zaidi...
Dah haya mama maisha popote!!!
No comments:
Post a Comment