18 August 2014

BAADA YA KUDAIWA KUTOKA NA MUME WA FLORA MBASHA .MWENYEWE IRENE AANIKA UKWELI hapa kunafull stori



 Angelina Jolie wa Bongo, 'Irene Paul'.
Angelina Jolie wa Bongo’ Irene Paul amekiri kuwa kwa sasa hajaolewa ila anaishi na mwanaume kwa kumpikia na kumpakuliaAkiongea hivi karibuni, Irene ambaye mara nyingi ni mchoyo wa kuyaanika maisha yake ya kimapenzi alisema; “Sipendi watu wajue kuhusu maisha yangu nje ya sanaa. Kwa kifupi sijaolewa ila sitafuti mpenzi kwani nina mtu ambaye tuko siriasi zaidi.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname