Maajabu:Kiungo wa Wolfsburg, Junior Malanda alikosa bao la wazi dhidi ya Bayern Munich jana usiku.
Rahisi tu!: Malanda alikuwa kwenye karibu na mstari wa goli na kutakiwa kusawazisha kiulaini, lakini alikosa.
Alikosaje? Kiungo wa Wolfsburg alikosa bao akiwa yeye na kipa.
Majanga: Malanda haamini kilichotokea
Mikono kichwani: Malanda akijilaumu baada ya kukosa goli la wazi.
No comments:
Post a Comment