Wanasema kimya kingi kina mshondo baada ya kudaiwa, hapo mwanzo ilidaiwa
kua Hamisa Mobeto alikua akichepuka na Bwana Almas aka Dangote aka
Diamond au Chibu kama mwenyewe anavyopenda kujiita. Lakini baada ikaja
kujulikana kua yalikua ni maneno ya wabongo.
Habari
za kuaminika ilizozipata ni kua kwa sasa Mwanadada Hamisa kazama kabisa
kwenye penzi zito la Seth De Jesus Giovan almaarufu kama Bikira wa
kisukuma.
Mmoja wa mashostito wa wapenzi hao ambaye hakupenda jina lake litajwe alisema kua Hamisa keshatambulishwa nyumbani kwao na Bikira na kilichobaki ni tukio la kuvishana pete na ndoa tu ambapo inanyetishwa tukio laweza jiri mwezi August!Stay tuned!

No comments:
Post a Comment