30 July 2014

UNAAMBIWA HUYU NDIYE MSANII MDADA WA BONGO MOVIE MWENYE TABASAMU MURUA MATATA...!


Shamsa Ford kama anavyoonekana hapo juu na baby wake ni msichana mwenye furaha mno na huyo mwanaume wake, wasanii wengi hawana furaha namna hii na wanaume zao, wengi ni ukiwaona leo kesho utasikia wanaanza kukashifiana yani tabu tupu...
Picha ya juu Shamsa akiwa na mimba, na hizi mbili akiwa ameshajifungua mtoto wake, kweli ukikubali kuwa na mpenzi ambaye umempenda kwa hali yoyote lazima uwe na furaha namna hii lakini hawa wa pesa mjini utaonekana unatanua lakini moyoni hauna raha kabisa, kisa cha kujipa jakamoyo kisa ufurahishe watu mjini eti wakuone unabadili nguo na pochi kila siku wakati maisha yako yanaoza ndani ndio nini?!!
 
Manake moyo una simanzi, Shamsa hongera sana mamaa, KUNA MWENYE TABASAMU KAMA LA SHAMSA NDANI YA BONGO MOVIES?

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname