Mauro Icardi #9 wa Inter Milan
akiangushwa na Ander Herrera #21 wa Manchester United katika kipindi
cha kwanza cha mchezo kwenye mechi za International Champions Cup 2014
mechi iliyochezewa katika uwanja wa FedEx siku ya Jumanne July 29, 2014
Landover, Maryland.nchini Marekani.
Shinji Kagawa #26 wa Manchester
United akikimbia na mpira wakati timu yake ilipocheza na Inter
Milan kwenye mechi za International Champions Cup 2014 mechi
iliyochezewa katika uwanja wa FedEx siku ya Jumanne July 29, 2014
Landover, Maryland.nchini Marekani.na. Manchester United kuibuka mshindi
wa bao, 5-3, magoli ya matuta baada ya dakika 90 kutoka
droo.

droo.
Nani #17 wa Manchester United akimlamba chenga Juan Jesus #5 wa Inter Milan
kwenye mechi za International Champions Cup 2014 mechi iliyochezewa katika uwanja wa FedEx siku ya Jumanne July 29, 2014 Landover, Maryland.nchini Marekani.na. Manchester United kuibuka mshindi wa bao, 5-3, magoli ya matuta baada ya dakika 90 kutoka droo.

Darren Fletcher #24 wa Manchester United akishangilia na wachezaji wenzake baada ya kufunga penati ya ushindi kwenye
mechi za International Champions Cup 2014 mechi iliyochezewa katika
uwanja wa FedEx siku ya Jumanne July 29, 2014 Landover, Maryland.nchini
Marekani.na. Manchester United kuibuka mshindi wa bao, 5-3, magoli ya
matuta baada ya dakika 90 kutoka droo. Picha na Zimbio
No comments:
Post a Comment