26 July 2014

JE UNAJUA MAMBO KUMI AMBAYO MWANAMKE ANAWAZA PINDI ANAPOPISHANA NA MWANAUME NJIANI ? CHECK HAPA -





Soma hapa uelewe mambo ambayo mwanamke anawaza anapopishana na mwanaume

Kwanza hutazama tembea yako,kisela au kiheshima ili ajue kama una kazi au laa
Kama nguo zako zimefubaa basi unatembea juani na kama nguo zimejikunja basi hata pasi huna
Nakama viatu vina vumbi basi moja kwa moja inaonyesha gari huna


Kama pesa hutoi kwenye waleti basi hujazoea kuwa na pesa na hata lakimoja hujawahi kuwa nayo
Kama hunukii vizuri basi wanawake huwajui vizuri, na hata hug au romance hujawhi pata kokote
Kama nywele huja chana inaonekana hujitunzi na hata zake hutoweza kugaramia
Ukiongea nae mda mrefu na maswali mengi basi una mtaka ila huelewi uanzaje kidume
Ukimshika au ukimgusa popote basi unamtaka kimwili
Kama nguo zako mkanda wa suruali na viatu havi machi basi pia moja kwa moja hujielewi na hujawahi kuwa na mwanamke
Usipomtazama machoni hujiamini na inaonekana muongo

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname