Mtangazaji
wa Television kubwa duniani ya E Terrence J yupo nchini Tanzania
,ambapo pamoja na mambo mengine,alihost uzinduzi wa filamu ya THINK LIKE
A MEN TWO,na yeye akiwa mmoja ya nyota walioigiza humo,me na team yangu
tulipata mwaliko,na hizi ni baadhi ya picha tukiingia na mahojiano ya
kwenye red carpet
TERRENCE AKIZUNGUMZA JAMBO KABLA YA MOVIE KUANZA
Baada ya kutoka ,Nikisalimiana na baadhi ya mashabiki wangu


Picha zote via: Wasafii.blogspot.co.uk
No comments:
Post a Comment