29 July 2014

ANGALIA PICHA ZA RAY C AKIWA MTAANI KUHAMASISHA MATEJA KUACHA UNGA




 Ray C Foundation Wiki iliyopita tuliwatembelea waathirika wa madawa ya kulevya Kinondoni!!!tumeongea nao sana na kuwahamasisha waje kupata Tiba ya Methadone Mwananyamala....nimefurahisana kusikia kutoka Kwao kwamba na wao wamechoka na Maisha ya utumwa.Tuko pamoja nao kuhakikisha tunawasaidia.


No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname