30 July 2014

Alichokisema Diamond baada ya ushindi AFRIMMA

Screen Shot 2014-07-30 at 2.56.39 AM
Weekend ya usiku wa kuamkia July 27 2014 ndio Diamond na Lady Jaydee wametangazwa kuwa washindi wa tuzo kwenye tuzo za AFRIMMA2014 zilizotolewa nchini Marekani zikiwa zimewashindanisha mastaa wakubwa wa Afrika kama vile Davido, Mafikizolo, 2Face na wengine.


Kama ulitamani kuona Diamond akihojiwa baada ya ushindi huo hii ndio time yako mtu wangu…BOFYA HAPA KUANGALIA VIDEO>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname