03 June 2014

MUME WA FLORA MBASHA AKUBALI KUBAKA NA KUOMBA MSAMAHA KWA SHEMEJI YAKE. SIKILIZA HAPA laivu bila king'amuzi..!

Tunaomba usikilize hii audio Mume wa Flora Mbasha akiomba msamaha na akifichua mambo magumu mazito yanyoendelea ndani ya famili hiyo ambayo imezua gumzo mtaani kwa kile kinachofikiriwa kua imepoteza uaminifu kutokana
na jamii inavyoichukulia kuwa ni familia yenye hofu kubwa ya Mungu,lakini jamii imesahau kua hawa ni binadamu 100% kuna kuanguka,tunaomba maoni yako unasemaje juu ya hili.. Msikilize Hapa Chini...

1 comment:

  1. who posted it,tutaaminije anaeongea ni mbasha! lakini mmetukatisha tamaan sana na hata biashara yenu kwisha kazi mtatuaminishaje tuwaamini!!

    ReplyDelete

Comments system

Disqus Shortname