Mashabiki zaidi elfu 40 walifika jana kushuhudia uzinduzi wa radio 93.7 E-FM.
Kamanda
wa Polisi Kanda ya Temeke Engelbath Kiondo leo amezungumza na vyombo
mbalimbali vya habari ofisini kwake kuelezea kilichotokea jana kwenye
uzinduzi wa radio hiyo mpya ya 93.7 E-FM.
Kamanda
huyo alisema Jeshi la Polisi na waandaji wa tamasha hilo walipoona
umati wa watu kuwa mwingi na ili kuepusha madhara ambayo yangeweza
kujitokeza kwa rai basi walizima mzuki mapema nusu saa kabla ya
kumalizika kwa shughuri hiyo.
|
No comments:
Post a Comment