13 June 2014

ALICHOANDIKA WEMA SEPETU KUHUSU YEYE NA KAJALA HIKI HAPA




Wemasepetu ... Hope you all well... If y'all must know mimi ni mtu ambaye huwa nasomaga sana comments.... Na kama nimekosa kusoma comment yako ujue ni kwamba zinakuwa nyingi mno na nashindwa soma zote.... Ni kwa muda mrefu sana mnaniona nakaa tu kimya na sisemi chochote khs my friendship life... But mimi binafsi na muhusika ndo tunajua... saa nyingine

mnaongea hadi nakereka but nakaa kimya... Nilitaka tu kusema mimi sina kinyongo na mtu... na kama kuisha mbona yalishaisha...Au ndo mlikuwa mnataka kuona bega kwa bega...? In my life siwekagi vinyongo... nyi wenyewe mnajua... So jus so u want to know hayo yalishapita na maisha yanaendelea... ni hayo tu... Have a good day everebadi...��������...


But chakushangaza Mlimbwende huyo wa Tanzania wa mwaka 2006 hakuweza kuweka picha ya shostito wake huyo kwenye hiyo post badala yake akaweka picha ya Shostito wake wa sasa Aunty Ezekiel ndio aliepamba post hiyo. Mmmmh je hapo unalionaje hilo? mdau

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname