Kijana mmoja
amepigwakutoka kwa wafuasi wa Ukawa waliokuwa na mkutano mkoani
Morogoro jioni hii baada ya kudaiwa kuwa miongoni mwa waliomteka Mbunge
Rose Kamli wakati wa uchaguzi mdogo jimboni Kalenga, mkoani Iringa.
Njemba huyo akipokea kichapo kutoka kwa wafuasi wa Ukawa mkoani Morogoro na baadaye kuokolewa na polisi.Picha zaidi >>>>>>
No comments:
Post a Comment