MWILI WA MSANII ADAM KUAMBIANA WATOLEWA MUHIMBILI, KULALA KWAKE BUNJU LEO..WASANII WAZIMIA HOVYO VILIO VYATANDA
Mwili wa Marehemu Adam Kuambiana ukiwa ndani ya gari
la kubebea maiti baada ya kuchukuliwa moshwari Muhimbili, unapelekwa
nyumbani kwake, Bunju, Dar ambako utalala huko kabla ya kuagwa Viwanja
vya Leaders na kuzikwa Kinondoni, kesho.
Waombolezaji wakiwa wamelifungua gari la kubebea maiti ili kuweka jeneza lenye mwili wa Adamu Kuambiana leo mchana.
Waombolezaji
wakilia kwa uchungu, mmoja akiwa amedondoka baada ya mwili wa Kuambiana
kuwekwa kwenye gari la kubebea maiti nje ya moshwari Muhimbili Dar.
Msanii wa Filamu Bongo, Dude akihojiwa na Global TV On Line nje ya moshwari, Muhimbili.
Mmoja wa wasanii wa Bongo Muvi akihojiwa na Global TV on line.
Dude(kulia),
Johari, (katikati) na msanii mwingine wakiwa nje ya mochwari, Muhimbili
wakisubiri mwili wa marehemu Adam Kuambiana kutolewa na kusafirishwa
kwenda Bunju, Dar leo mchana
No comments:
Post a Comment