Bi
Mwanaid Vuai Saleh akiwa ameathirika kiasi hicho kama anavyoonekanav
pichani akiwa katika hospitali ya Jeshi Bububu Unguja akiendelea na
Matibabu yake akisubiri misaada ya Wasamaria wema ili kupata
kusafirishwa nje ya nchi kupata matibabu zaidi ili kurudisha hali yake
kiafya.
Kwa sasa amepata baraka zote kutoka Ofisi ya Mufti Zanzibar kupata missada kama inavyosomeka hapo chini.
No comments:
Post a Comment