"Dah
!nimemsikiliza Happiness Magesa miss tz 2001 akielezea matatizo
aliyonayo yanayosababisha asipate mtoto ni maumivu ya Hedhi
.Nimesononeka sn lakini nimepata faraja kwa kuwa amekubali tatizo......."
Ruth MsuyaMwanangu
usikate Tamaa kwani ukiingia kwenye siku zako INA kuwaje?nijulishe
nitakuambia cha kufanya mbona utazaa Ibrahim mwenyewe name make wake
Sara walipata Mtoto akiwa name miaka mia no kitu gani kinamshinda mungu.
No comments:
Post a Comment