13 February 2014

YANGA YAZUIWA UWANJA WA NDEGE KWA MUDA WAKAGULIWA KWA KUHISIWA NA MADAWA YA KELEVYA


Leo Asubuhi Team ya Yanga Imekiona cha Moto baada ya kuzuiwa uwanja wa Ndege wa JKIA Hapa Dar Wakielekea Comoro Kwa Ajili ya Mchezo wa Marudiano ...Mtoa nyeti Amehabarisha kuwa Walihisiwa wamebeba mzigo ikabidi upitishwe ukaguzi wa nguvu



No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname