14 February 2014

WANANCHI WAUA WATU WAWILI KWA TUHUMA YA WIZI,TUNAOMBA RADHI KWA PICHA ZINAZOTISHA

Miili ya marehemu hao baada ya kupakizwa katika gari la polisi wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga
Gari la polisi wilaya ya Kahama likiwa limezungukwa na wananchi eneo la tukio


Watu wawili wanaosadikiwa kuwa ni wezi wameuawa kwa kushambuliwa na wananchi waliojichukulia sheria mkononi kwa kisingizio cha kuwa na hasira kali katika mtaa wa Mayila kata ya Nyihogo wilayani Kahama Mkoani Shinyanga.
Tukio hilo la mauaji limetokea leo majira ya saa tisa alasiri baada ya vijana hao kuhisiwa kuhusika na matukio ya wizi ambayo yamekuwa yakitokea katika eneo hilo mara kwa mara na kuwakosesha amani wananchi.INAENDELEA

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname