13 February 2014

Wadada punguzeni uvivu kitandani. Mapenzi yamekuwa ya ushindani sana kama Simba na Yanga.

Ukipoteza mechi mpinzani atakaa kileleni kuongoza Ligi.
Tabia za kulala kama unasubiri Sindano haitakupa chochote. Jitume kutetea uhalali wako wa kuwa Mpenzi wa huyo mtu. Mapenzi

hayana kupiga ramli, Manage ur bed, vingine ni Secondary option tu. Mnaoamini Mapenzi hayalindwi na Sex nawapa pole, Mta-Supp mtihani kabla hamjaanza testi. Bed is everything haswa kwa Mapenzi ya sikuhizi.


CREDIT-Albert Man Dea

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname