1. Unaropoka ropoka kila mara
2. Wewe unaingilia mambo bila kujua hoja imeazia wapi
3. Huna break kwenye mambo unaweza mchomekea mtu na kumdhuru
4. Sio msafi wa roho na mwili pia
5. Unatabia ya udokozi kama madereva wanavyodokoa posho ya boss
6. Una mdomo mchafu maana huna dogo kila unapoongea lugha chafu zimekujaa
7. Huna msimamo na kitu kimoja unabadili mabosi kila kikicha na ruti pia
8. Huwajali wanafamilia yako wengi wa madereva huwa na mitala mingi

No comments:
Post a Comment