06 February 2014

MZEE MAJUTO NOMA SANA, KWA STYLE YAKE KAACHA WATU HOI KINOMA:


 
Huyu ndiyo King Majuto mchekeshaji nambari moja nchini Tanzania. anaanza yeye wengine ndiyo wanafata. Tazama hii picha ambayo ni moja ya kipande kitakachokuwepo katika filam mpya ya mwanadada Nisha inayoitwa GUMZO ambapo mzee majuto amefanya yake humo ndani. Tazama picha hii afu funguka unadhani hiyo filamu itakuwa ya kukosa kweli....??

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname