MCHEZAJI ABAMBWA AKIWA AMEVAA CHUPI YA BIKINI UWANJANI
Sihitaji sana kutoa maelezo juu ya
picha hii ambayo ukiangalia mwenyewe unaelewa mara moja, ingawa kidogo
ninabaki na maswali ya kujiuliza kama hii Bikini jamaa alivaa kwa
mapenzi yake mwenyewe au kulikuwa na shinikizo la nguvu za kiza, au
jamaa ni Bwabwa??? .... naombeni maoni yenu pia Wadau kuhusiana na vazi
hili kwa mwanaume tena uwanjani!!!!
No comments:
Post a Comment