Ukikamatwa Saudi Arabia, kama mkiwa wengi mtaadhibiwa kwenye kifaa hiki.
Ukikamatwa Pakistani, utaadhibiwa hivi.
Ukishikwa China, watakupiga risasi mbele za watu,
Kwanini u'risk maisha yako?
Kijana, fikiria mama yako aliyekuzaa akiona unaishia hivi atasononekaje moyoni mwake?
Ni kweli umeishiwa mbinu za kujipatia kipato kwa njia nyingine halali?
Kijana wa Kitanzania, wewe ni spesho hakuna kama wewe.
Hakuna kitu chenye thamani kama maisha yako.
Usikubali
kuwa punda wa kubebea watu madawa yao ya mabilioni ya pesa kisha wewe
unaambulia pesa ya kununulia saloon car(kama ukinusurika kukamatwa).
No comments:
Post a Comment