13 February 2014

HAWA NDO watu 10 wenye nguvu duniani

Mtandao maarufu kwa kutoa list mbalimbali ikiwemo ya watu matajiri duniani, wakati huu
wametoa list ya watu wenye nguvu sana duniani.

Mwaka juzi namba moja alikuwa rais

wa taifa kubwa dunia Barrack Obama. Mwaka huu mambo yamekuwa tofauti kwa kumuona
bwana Obama akishuka kutoka kwenye hiyo nafasi yake.
Watu wengine maarufu waliopo kwenye top five ni Xi Jinping mwenyekiti wa chama cha
kikomunisti cha China,Pope Francis,Angela Merkel kutoka Ujerumani na Vladimir Putin kutoka Russia ambaye ndiyo namba moja
akifuatiwa na Barack Obama namba mbili.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname