07 February 2014

EXCLUSIVEEE:::TAZAMA NA UISOME BARUA YA KUITWA MAHAKAMANI MSANII AT NA MTU ANAYEDAI NI MGANGA WAKE BAADA YA KUSHINDWA KUMLIPA


Katika ile Scandal inayomkabili Msanii wa Bongo Flava (Ally Ramadhani) maarufu kama A.T akituhumiwa na Mganga wa Kienyeji aliyejitambulisha kwa jina la Sharif, kwamba eti hakumlipia pango la nyumba kama Ujira wake baada ya Mganga huyo kumfanyia matibabu ya kijadi msanii huyo, Mganga wa Kienyeji ameamua kwenda kumpeleka A.T Mahakamani
juu ni barua ya A.T kuitwa mahakamani na atatakiwa kuongozana na mashahidi iwapo atashindwa kutokea mahakamani bila taarifa basi Hakimu atatoa ushindi kwa mdai ambaye ni Mganga wa Kienyeji anayedai alipwe milioni 3 kama Bill ya matibabu aliyompa AT, ikiwemo na kumsafisha Nyota na kusababisha msanii huyo kushinda Tuzo moja katika Kili Tanzania Music Awards..chanzo cha habari Makorokocho blog


No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname