06 February 2014

BREAKING NEWSSSS::NDEGE YAANGUKA MANYARA


Manyara, Tanzania. Ndege ya iliyokuwa imebeba madaktari wanne 'Flying Doctors' imeanguka katika, mkoani Manyara baada ya kupata hitilafu wakati ikijiandaa kupaa kuelekea

vijijini. Ndege hiyo ilikuwa vijiji vilivyopo Kata ya Ndedo wilayani Kiteto, mkoani Manyara kwa ajili ya kutoa huduma ya mama na mtoto. Daktari mmoja amejeruhiwa na wengine wanaendeleo vizuri.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname