12 February 2014

ALIBINO ALIYEKAMATWA AKIJIUZA KUFUNGULIWA DUKA


 Mwenyekiti wa chama cha Albino mkoa wa Morogoro Akizungumza na mwandishi wa habari hizi ofisni kwake
 Lakia Mussa Kulia] mhasibu mkuu wa chama cha Albino mkoa wa Morogoro aki copy picha za Fidhira 
 Fadhira kushoto mama wa watoto wa watatu akihojiwa na mwenyekiti wa chama cha Albino mkoa wa Morogoro David Mganga
 Akiwa mbele ya uongozi mzima wa chama cha Albino mkoa wa Morogoro akitakiwa kutoa maelezo kwani alikamatwa na baadae kutolewa kwenye magazeti akifanya biashara ya kujiuza,jambon ambalo limewadhalilisha maalbino wenzakeINAENDELEA

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname