28 January 2014

SASA HUYU MSANII CIARA...KADATA HASWAA ...ANA MIMBA LAKINI ONA JINSI ANAVYO JINYONGANYONGA JUKWAANI..PESA MBAYA SANA


Bila kujali hali ya ujauzito aliyokuwa nayo, mwanamuziki CIARA juzi juzi alipiga show ya nguvu huko majuu na kukamua na staili zake za kucheza kama kawa huku kitumbo cha ujauzito kikimtoka mbele, hakujali na wala hiyo haikumfanya kuwanyima mashabiki wake ladha.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname