13 January 2014

Post ya kwanza kutoka kwa msanii Jux inayomhusu Jackie Cliff

cliff 
Msanii wa kundi la Wakacha Juma Jux kwenye account yake ya instagram amepost hiyo picha hapo juu na kuandika,”HAPPY BIRTHDAY MAMIE Was good talking to you and i am so happy kuwa
sababu ya tabasamu lako words can’t explean wat u mean to me only god knows. today is your day HBD my lv”
cliff2

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname