13 January 2014

MSANII WA BONGO MOVIE ALIEJIKITA KATIKA NYIMBO ZA INJILI SARA APATA GONJWA LA AJABU, TUMUOMBEE MUNGU..


Sara Mvungi.

Akizungumza na paparazi wetu, Sara alisema katika hali ya kutaharuki tatizo hilo lilipoanza alihisi labda anasumbuliwa na ugonjwa wa ‘typhoid’ lakini alipokwenda hospitali hakukutwa na tatizo ingawa tumbo linazidi kumuuma.


“Nashindwa kuelewa nasumbuliwa na nini mpaka sasa, hali yangu ilikuwa mbaya sana. Nilipoenda hospitali sikuonekana na tatizo kutokana na kile kinachonisumbua, Mungu ataniponya,” alisema Sara.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname